Ajali mbaya Yatokea

Gari ya abiri aina ya DYNA yenye namba za usajili Z 330 GX lapinduka huko maeneo ya wete pemba, kwa habari zisizo rasmi mtu mmoja afariki papo hapo.
tutaendelea kukupa taarifa hizi kadri tutakvyo zipokea kutoka eneo la tukio…………………
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2s7xZ00
via IFTTT