TANESCO WATAKIWA KUHAMIA LUPEMBE JUMATATU WIKI IJAYO



NAIBU waziri wa Nishati na Madini Dr. Medard Kalemani ameagisha shirika la umeme Tanzania Tanesco kufungoa ofisi zake jumatatu wiki ijayo katika halmashauri ya wilaya ya Njombe ili kuwasogezea wananchi huduma ya Umeme.

Hayo ameyasema wakati akizungumza na wakazi wa Matembe halmashauri ya wilaya ya Njombe ambako wananchi wake wamekuwa wakisafiri umbari mrefu kutafuta huduma.

Hiyo ni kauli ya kalemani wakati akizungumza na hawa wananchi.
Meneja wa tanesco mkoa wa Njombe anasema ijumaa ya wiki hii ataanza kufanya maandalizi ya kuhamia eneo hilo la matembwe.