VISIMA VITATU VYACHIMBWA IGANGILONGA IRINGA

KATIKA PICHA

WANANCHI WA KIJIJI CHA IGANGILANYI WAKISAIDIA MKANDARASI ALIYE LETWA KIJIJINI HAPO NA SHIRIKA LA SECO KUWACHIMBIA KISIMBA KUCHIMBA KISIMA CHAMAJI IKIWA NI MOJA KATI YA VISIMA VITATU

MTAMBO UKIENDELEA KUFANYA KATI KATIKA UCHIMBAJI WA KISIMA KIREFU