WAMJUA MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE BUNGE LA 11?


Bi Halima Abdallah Bulembo, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania.