PICHA: MASTAA WA BONGO WAKIWA NA WATOTO WAO.. CHECK HAPA!!


Shetta anamtoto mmoja wa kike kwa jina la Qayllah. Alizaliwa mwaka 2012 na tumeanza list hii na Shetta kwasababu jamaa aliamua kumpa mtoto wake gari aina ya Opa mwaka 2003 rangi ya Silver siku chache baada ya kuzaliwa.”
Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali….hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia umma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi” alisema shetta.



Mwana FA
Mwana Fa ana mtoto wa kike anayeitwa Maleeka ambaye alitimiza miaka miwili mwaka jana.“Nimekuwa very careful, I am worried, siko reckless kama nilivyokuwa. Naogopa nina mtu ananitazama na sitaki kumwangusha. Watu wengine tumekua kidogo juu juu sana, sitaki maisha yangu ambayo mimi nimekua impitie mwanangu hata kidogo,” alisema FA kwenye birthday ya mtoto wake.

Ali Kiba
Ali kiba naye ana mtoto wa kiume ingawa hapendi sana kumzungumzia kwenye mitandao.

Mr.blue

Mr.blue na mchumba wake Waheeda wamekua pamoja kwa miaka 10 sasa na along the way walipata mtoto anayeitwa kherry.“it feels great to be a father , in fact the greatest moment in my life was the day kherry was put on my arms. Nilikua na hisia zisizoelezeka”. Blue alisema haya kwenye interview tuliyofanya nae.

Barnaba  

Barnaba naye anamtoto wa kiume anayeitwa steven na kama ulikua haujui jina alilompa ni kwa ajili ya kumuenzi mkali wa bongo movies marehemu steven kanumba.

Gelly wa rhymes 
Gelly wa rhymes naye ana mtoto wa kike anayeitwa queen