MAGUFULI : WACHEKE WANUNE MAGUFULI NDIO RAIS


  • Apiga kampeni mikoa zaidi ya 23 kwa kutumia barabara
  • Atembea zaidi ya kilometa 41000
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Tanzania mpya atakayoiongoza itakuwa ya viwanda hivyo fursa za ajira zitaongezeka.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha ilani ya CCM mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo
 Mgombea ubunge jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akihutubia mbele ya Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli  kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo
 Ali Kiba na wacheza show wake wakishambulia jukwaa kwenye viwanja vya Sokoni Majengo kwenye mkutano wa kampeni za CCM.


 Wakazi wa Mtama wakiwa na shangwe kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Bernard Membe akihutubia wakazi wa Lindi mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mpilipili ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Magufuli anatosha kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkwe wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za uliofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI