Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis
Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa
wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za
kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Septemba 5,
2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa mwamvuli
wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akilakiwa kwa
shangwe na wananchi wa mji wa Tabora, wakati akipita kuelekea jukwaa
kuu, wakati wa Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, siku ya Septemba 5, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana
na Mke wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama Regina
Lowassa, wakati alipowasini kwenye Uwanja wa Town School, kuhudhulia
Mkutano wa Kampeni,Septemba 5, 2015.
Umati wa wananchi wa Mji wa Tabora ukiwa kwenye Mkutano huo.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa nwavuli
wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akimwaga cheche
zake katika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye, akisisitiza
jambo katika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, Septemba 5, 2015.
Chopa iliyompakia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
ikipiga misele juu ya uwanja wa Mkutano, leo Septemba 5, 2015, mjini
Tabora.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipanda jukwaani
kwa kukimbia mara baada ya kutua na Chopa yake,Septemba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia
wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015.
Meza Kuu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Tabora.
"Mabadilikooooooo......"
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia na
kunadi sera zake kwa wananchi wa Mji wa Tabora, wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofanyika jana Septemba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama
Regina Lowassa wakicheza sambamba na wananchi wa Tabora, waliofurika kwa
wingi kwenye Uwanja wa Town School, mjini humo Septemba 5, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na
Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, wakati wakitoka kwenye Mkutano wa
hadhara wa Kampeni, Mjini Tabora leo Septemba 5, 2015.