Meza kuu ikipokea maandamano kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro.
Watumishi
wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakiwa kwenye maandamano
kabla ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro
leo.
Watumishi
wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani
(hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI
mjini Morogoro leo.
Kaimu
Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba
ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya
SHIMIWI mjini Morogoro leo.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O.
Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro
leo.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O.
Kombani akisalimiana na wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya SHIMIWI
mjini Morogoro,wakati wa ufunguzi wa michezo ya SHIMIWI.