Mwandishi wa Habari za michezo TZ na Mtangazaji wa show ya Sports Xtra@CloudsFM, Shaffih Dauda ameweka post kwenye ukurasa wake wa Instagram, inahusu ajali ya gari la mashabiki wa timu ya Simba Sports Club; “Wanachama wa tawi la mpira na maendeleo maarufu kama Simba Ukawa wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea mkoani shinyanga,Taarifa zaidi zitafuata…“– @shaffih
Habari Online na Elimtaa
#Elimtaa
AJARI
michezo
Pole na Pongezi
Huenda umeiona himitandaoni, inahusu ajali ya mashabiki wa Timu ya Simba..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)