S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/01/2014.
[Mikoa ya Singida, Dodoma na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2
YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YOTE. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
30°C
|
14°C
|
12:30
|
12:44
|
D'SALAAM
|
33°C
|
25°C
|
12:11
|
12:41
|
DODOMA
|
32°C
|
20°C
|
12:27
|
12:53
|
KIGOMA
|
28°C
|
20°C
|
12:53
|
01:15
|
MBEYA
|
21°C
|
13°C
|
12:31
|
01:07
|
MWANZA
|
29°C
|
20°C
|
12:45
|
12:57
|
TABORA
|
30°C
|
18°C
|
12:41
|
01:03
|
TANGA |
33°C
|
26°C
|
12:16
|
12:38
|
ZANZIBAR
|
34°C
|
25°C
|
12:11
|
12:41
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini na km 40 kwa saa; kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 08/01/2014: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/01/2014.