Na Mwandishi Wetu, kwa Msaada wa Mtandao
Bilione
ambaye anajulikana kwa maarufu formula one, Eddie Jordan amekuja na
kali ya mwaka baada ya kununua boti (Super Yacht) yenye klabu kubwa ya
usiku ya kustarehe na vyumba zaidi ya vitano vya kulala.
Boti hiyo kubwa na aina yake ina viti vingi vya anasa ambavyo vinaweza kupatikana wakati wa starehe au safari yeyote ya abiria.
Boti hiyo ya pekee imetengezwa kwa miezi 18, na gharama ya jumla ya shilingi 32 milioni na hatimaye kukamilika.
Boti
hiyo ya kifahari yenye vyumba vitano vya kulala na kumwezesha mmiliki
Jordan kuwa na wageni zaidi ya 10 kwa mara moja, wakati mashua yake ina
nafasi ya watu 11 ambao ni wafanyakazi ndani ya boti hiyo.