SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAFUNGA OFISI JIJINI MBEYA


 Waandishi wa habari Mkoani Mbeya wakitaka kufahamo nini kimesababisha kufungwa kwa ofisi ya mfanyabiashara Bonface wa kampuni ya Rubi Investment ya jijini Mbeya ambayo inadaiwa kodi ya mwezi mmoja.




mfanyabiashara wa kampuni ya Rubi akiwa amefungiwa ndani na shirika la nyumba jijini Mbeya