KUANZA WIKI HII NA TAARIFA HII/BUSTANI MPAKA MWAKANI MWEZI WA SITA

  


 Hapa ilikuwa mwezi wa sita-tisa mwaka huu ..ni kutoka tu nje na kuchuma mboga na kula ......

THELUJI IMEANZA
Na sasa eneo hilo hilo leo linaonekana hivi. Inabidi nisubiri mpaka mwakani mwezi wa sita tena. Kaaazi kwelikweli....mmhhh labda nitumie makopo sijui?? Je mna ushauri wowotw ule?