
akijiuzuru Kagasheki alisema kuwa yeye aliteuliwa na Rais akiwa amefurahi na akizani atafanya kazi aliyo pewa.
"Nasema kwa kiingereza mimi Resign," haya ni maneno ya Mheshimiwa Kagasheki
Waziri mkuu Peter Pinda asema rais atengua uteuzi wa mawaziri wanne na atakapo rudi atatekeleza hilo ingawa wahusika hawakutenda hilo moja kwa moja,
Elimtaa Kupitia TBC1