Basi
la Taqwa lililokuwa na zaidi ya abiria 60 ambao wamenusurika kupoteza
maisha yao baada ya basi hilo walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es
salaam kupitia mjini Ngara kueleke Jijini Bujumbura nchini Burundi kunusurika kuwaka moto wilayani Ngara Mkoani Kagera.
Basi la abiria la Kampuni ya Taqwa lenye namba za usajili T 964 BHS aina ya SCANIA likiwa limenusurika kuteketea kwa moto leo( Desemba 18,2013) majira ya saa tano asubuhi katika eneo la Mkajagali kijiji cha Kumuyange, nje kidogo ya mji wa Ngara.
NA EMMANUEL SHILATU Subscribe to What's New