WATANZANIA wametakiwa kuhoji huduma zote wanazo zinunua kabla ya kuanza kuzitumia ili kujua vigezo na mashariti ya utumiaji wa huduma hizo.
hayo yamebainishw ana Meneja wa masasiliano kanda ya nyanda za juu kusini Injinia, Deodatus Moyo wakati akizungumza na wadau wa mawasiliano wa mkoa wa Mbeya wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya maendeleo ya Teknolojia na mawasiliano.
Moyo alisema kuwa wananchi wasome vigezo na masharti vya matumizi ya huduma za kimawasiliano ili kujua haki zao na vitu ambavyo ni razima kuvipata kutoka kwa watoa huduma wa mitandao.
Aliyasema hayo baada ya kupata maswali mengi kuhusiana na vitu vinavyo tolewa na watu wa mawasiliano ambao wanatoa huduma yakiwa nai pamoja na matangazo.
Habari Online na Elimtaa
MAWASILIANO
WADAU NA WATUMIAJI WA MAWASILIANO WATAKIWA WASOME WASOME VIGEZO NA MASHARITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)