SERIKALI
imesema kuwa hakuna ‘Division five’ na kuwa ongezeko la madaraja ndilo
limewachanganya watu.
Hayo yamebainishwa
na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mlogo wakati akizungunza
na Kipindi cha Jambo kinacho lushwa na TBC amesema kuwa hakuna division five
ili madaraja yameongozeka.
Amesema kuwa
watanzania hawajaelewa vizuri mchakato ambao serikali imeufanya wakati ikitangaza
kuongeza kwa madaraja katika upataji wa alama katika masomo ya mtihani wa
kidato cha nne.
Amesema madalaza
yameongeseka kutoka matano hapo awali mpaka saba hivi sasa ambapo awali
kulikuwa na A, B, C, D, na F sasa kuna madaraja saba ambayo ni A, B+, B, C, D,
E na F.
Amesema kuongezwa
kwa madaraja hayo kunatokana kuwapo kwa mpishano mkubwa wa upataji wa maksi kwa
wanafunzi walewanao pata alama za chini.
“Watoto
wamemuwa wakipishana sana katika upataji wa maksi kutoka 33 ambayo ni ‘D’ na
kumpata aliye pata 5 au 0 ambayo ni ‘F’ pamekuwa na ubali mrefu” alisema Mlugo.
Amesema
kuongeza kwa madaraja sio kuwa na division five kutakuwa na Dision four kisha
Ziro.
Amefafatua pia
katika suala la Continues Assesment ‘CA’ hii itatoa asilimia chache amabzo ni
40 kwa masomo yake ya kilasiku toka alipo anza kidato cha kwanza hadi kufika
kidato cha nne ambapo mtihani wa mwisho utakuwa na asilimia 60.
Amesisitiza kuwa
kila mtihani anao ufanya mwanafunzi unaumuhimu wake hasa ule wa kidato cha pili
na mocko ya kidato cha nne.