RUNGWE MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI BAADA YA KUKUTWA NA MACHOZI YA SIMBA
MTU mmoja mkazi wa Kiwila mkoani Mbeya anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutuwa na gogo lita nne.
Akizungumza nz waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa piolisi,mkoa wa Mbeya Diwani Athuman, memtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Dorith Adamson ambaye alikamatwa maeneo ya Ipanga kata ya kiwila wilayani Rungwe majira ya saa 9:45 akiwa na lita nne za kilevi halamu aina ya gogo.
Amesena mtuhumiwa ni mtuniaji na muuzaji wa kinywaji hicho, mtuhumiwa huyo amewekwa lumande wakati upelelezi unaendelea.
imeandaliwa na Yasinta Msuya
