WATU wasiofahamika wamevunja kanisa katoliki Nzovwe na kasha kuiba vitu mbalimbali.
Kamanda wa polisi mkoani Mbeya ADVOCATE NYOMBI tukio hilo limetokea APRIL 2 majira ya saa 2:00
Bw Nyombi amesema mtu mmoja aitwaye Peter Mushi (54) Nzovwe aligundua kuwa kanisa hilo limevunjwa na kuongeza kuwa zimeibiwa pesa taslimu sh(2866500) vipaza sauti 3 ,Receiver 2, Vitenge doti 15,pasi moja ya umeme pamoja na vitu vingine balimbali vyote vikiwa na thamani y ash (3265000) .
Aidha ameongeza kuwa mbinu iliyotumika ni kuvunja mlango wa kanisa hilo kasha kuvunja na kuiba mali hizo zilizopo ndani ya kanisa na Poilisi wanaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini majamba