MEYA WA JIJI LA MBEYA ATEKWA NA MAJAMBAZI MBARALI.



TAARIFA zilizotufikia ni kwamba Meya wa Jiji la Mbeya Athanas Kapunga pamoja na msafara wa madiwani waliokuwa wametoka mkoani Morogoro kwa ajili ya kuishangilia timu ya Jiji hilo jana majira ya saa tano usiku alitekwa na majambazi eneo wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Taarifa zaidi zaja, huku madiwani wakikosa imani na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani humo Advocate Nyombi.