UTATA ulio kuwepokatika kata ya Swaya miongoni mwa vijji viwili vya Nsenga na kijiji cha Ilangali vyote vilivyopo katika halimashauli ya wilaya Mbeya vijijini juu ya uchangiaji wa mchango wa madawati katika shule ya msingi Nsenga ambapo ROCK FM Iishuhudia wana funzi wakiwa wa mekaa chini kwa kukoasa madawati jana umefikia hitimisho.
Kaktika mkutano huo ulio dumu takribani masaa mawili ambapo awali kulikuwa na kikao cha viongozi talafa na viongozi wa kijiji walipata muafaka wa mambo mawili kuwa nikutumia rasilimali za shule ya msingi Nsenga ambazo ni mashamba ya walimu na miti ya mbao iliyopo shuleni hapo .
Uongozi huo ulikubaliana kuwa mashamba ya walimu yakodishwe na miti yambao iliyoposhuleni hapo iasuliwe ili isaidie katika utengenezaji wa madawati hayo ambapo imeelezwa na mgeni rasimi [BWA]Ferix Raniva kuwa hali ilyopo kartika shule ya msingi Nsega haiwezi kuvumilika na nikinyume na haki za wanafunzi
Hata hivyo katika mkutano wa nje ambao ulifanyika katika shule mpya ya Ilangali wananchi wengi walionekana kuto waelewa viongozi wao kwa madai yakuto washilikisha katikamaamuzi hayo
Wakati hali hiyo ikiendelea ndipo mgeni rasimi katika mkutano huo ambaye nikatibu talafa ya Swaya [BWA] Ryaniva kuamua kutoa agizo jipya la kukitaka kila kitongoji kuchangia madawati matatu halaka iwezekanavyo . .