IMEELEZWA kuwa tofauti ya viwango vya mishahara kati ya kada moja na nyingine inatokana na uzito wa majukumu husika.
Naibu Waziri wa Afya Dokta Lucy Inkya amesema hayo wakati akitoa ufafanuzi wa tofauti za viwango hivyo kati ya daktari na mwalimu.
Hayo yamesemwa leo katika mkutano wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mjiniDodoma
Amesema mwalimu wa shahada huanza na mshahara wa shilingi laki nne sitini na tisa elfu na mia mbili kwa mwezi na daktari mwenye shahada huanzia na mshahara wa shilingi laki tisa hamsini na saba elfu na mia saba kwa mwezi.
Dokta Nkya amesema utaratibu huu hutumika pia katika sekta binafsi duniani na ndiyo unaotumiwa katika utumishi wa umma kupima tofauti ya majukumu miongoni mwa kada. Mbalimbali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)