HALI ILIVYO KUWA CHUNYA MAENEO YA RUPA TINGATINGA BAADA YA KUUWAWA KWA MWANAFUNZI


Barabara ya kwenda Tabora maeneo ya lupa tingatinga chunya barabara hiyo ikiwa imefungwa kwa kuchoma matairi ya magari kuto ruhusu polisi kupita kwenda kuchukua mwili wa mwanafuzi aliyeuwawa kwa kutuhumiwa kuiba simu.
Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu

Mji mdogo wa Chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi
Hiki ndiyo kituo cha polisi lupa tingatinga chunya kilichoharibiwa na wananchi wenye hasira kali
Hii ni nyumba ambayo walikuwa wakiishi askari wanaotuhumiwa kumuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuiba simu vifaa mbali mbali ya matumizi ya nyumbani vilichomwa moto na wananchi hao
Mkuu wa polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akiongea na viongozi wa Lupa Tingatinga Chunya jana
Viongozi wa kijiji cha Lupa Tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana