Hizi ni nyumba ambazo zipo pembezoni mwa mto kalobe zikiwa hatarini kukumbwa na mafuriko wakati wowote |
Nyumba hii ipo hatarini muda wowote kukumbwa na mafuriko |
Bomba la maji safi likiwa limekatika baada ya kuangukiwa na moja ya kuta za nyumba zilizojengwa pembezoni mwa mto huo |