Mh. diwani Kajigili anaeongea na simu akiwa na mzee shariff na majirani wengine waliokuja kumpa pole |
Gari ya mheshimiwa diwani Geofrey Kajigili wa kata ya sisimba jijini mbeya likiwa limeangukiwa na mti ulioangushwa na mvua ilioambatana na upepo mkali |