Heri ya Mwakampya Mdau na Mpenzi wa Media hii

Image result for 2018


Elimtaa Media inayo miliki mitandao ya kihabari ya kijamii ya Eliamtaa Tv On YouTube na Blog ya Habari Online na Elimtaa www.facebook.com/elimtaa  www.twitter.com/elimtaa, Instrageam@Elimtaa, wanakutakiwa Mwaka mpya mwema 2018 Uwe ni Mwaka wa mafanikio na yale uliyo shindwa kuyatimiza mwaka jana sasa ni wakati wa Kuyatimiza Fanyakazi Kwamoyo Wote na Mtegemee Mungu Muweza wa Yote ambaye Amekuwezesha kuvuka Mwaka uliopita na kuwa Ngambo ya mwaka huu Mungu akutangulie kwa kila utakacho taka kufanya na mambo yako yanyooke kwa Uweza Wa Mungu Mkuu, Mungu wa Yakobo, Isaka, na Mungu wa Taifa Kubwa la Israeli
Amen........