Uhamiaji, na idara za ukaguzi makambako wasiwasi kuondolewa kupunguza foleni



SERIKALI imekili kuwapo kwa changamoto ya foleni ya magali katika mzani wa Makambako mkoani Njombe kutokana na kuwapo kwa idara nyingine za ukaguzi ambazo ndizo zinaongeza muda wa kukaa kwa gari eneo hilo tofauti na mizani nyingine hapa nchini na kuwataka wananchi wa wavumilivu wakati changamoto ikitafutiwa ufumbuzi.