MADHARA ya moto unaotokea katika mashamba na misitu ni makubwa kwa mazingira na hali ya hewa licha ya kurudisha nyuma uchumi wa wakazi wanao jishughulisha na kilimo cha miti ya mbao na matunda mkoani Njombe nyanda za juu kusini mwa Tanzania.
Bayanuai hufa kutokana na moto kichaa