Wanafunzi wa Kitanzania Wang’ara Marekani Aliwemo Rashid Jakaya Kikwete

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko Marekani juzi.
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2slxle7
via IFTTT