KWANINI CHADEMA WANAKWEPA KUULIZIA HOJA YA RICHMOND KIPINDI HIKI CHA MAGUFULI?

Katika kuchangia hoja zao haswa mitandaoni wafuasi wa chadema wanajitahidi sana kukwepa kuiongelea au kuiulizia kashfa ya Richmond.
Yaani katika mambo ambayo hawataki kumkumbusha Magufuli ni ufisadi wa Richmond.
Katika mambo ambayo Chadema hawataki kumuwekea mkono Magufuli apute ni kuhusu swala la Richmond.
Hivi hofu ya Chadema ni ipi kwenye hili?
Kwa nini hatuoni makala za kumtaka Magufuli ashughulikie Richmond?
Hatuoni makala zinazosema kwamba sisi wapinzani tulipigia kelele sana swala la Richmond.
Hofu ya Chadema ni nini?
Kwa nini Ufisadi unaongelewa kwa vipande vipande?
By Jingalao/JF
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2rLncZG
via IFTTT