TzTown Tv: KATA ZINAKOSA MAJI LICHA YA KUWAPO KWA VYANZO VINGI VYA MAJI MKOANI HUMO

LICHA ya kuwapo kwa vyanzo vingi vya maji mkoani Njombe bado baadhi ya kata zinachangamoto ya maji huku kukidaiwa mbinu za muda mfupi na kutatua changamoto kwa presha ni chanzo cha changamoto hiyo kujitokeza mara kwa mara.
Changamoto ya maji inaonekana katika baadhi ya kata za halmashauri ya wilaya ya Njombe.
Nini kinasababisha kuto kuwapo kwa maji wakati mkoa huo unavyanzo vingi vya maji huku ufumbuzi wa muda mrefu ukitolewa.
Mhandisi wa maji halmashairi ya wilaya ya Njombe anasema kuwa halmashauri hiyo inamaji ya kutosha katika kila kata kilicho baki ni kuwafikisha wananchi karibu.

TAZAMA VIDEO MADIWANI WALALAMIKA VIJIJI VYAO HAVINA MAJI……..

from Blogger http://ift.tt/2rmxmfC
via IFTTT