Kutolewa Bango la Mtaa wa ‘Victor Wanyama’ ni Mpango wa Siasa Chafu- Bonface Jacob

Boniface Jacob Meya wa Maspaa ya Ubungo amesema kuwa Mpango wa kuondolewa kwa bango la Mtaa wa Mchezaji wa Soka Nchi uengereza ni Mapango ulioratibiwa kwa chuki za kisiasa kwake,
Jacob akizungumza kwa njia ya Simu amesema kuwa aliyeratibu mapgo huo ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwa madia kuwa anahakiki kuwa taratibu za Kuupa jina Mtaa Wanyama zilifutwa ama hapana.
amsema kuwa kitendo hicho kimedhihiirisha chuki kutokana na dalili za uwepo wa Meya huyo wa Chadema katika mchakato wa kuupa mtaa huo jina la Mchezaji Wanyama ambaye yupo Nchini kwa Matembezi.
Meya jacob amasema kuwa mchezaji huyo aliyekubali kushiriki kuangalia ligi ya ndondo Cup aalionesha nia ya kuwasaiid vijana wa kitanzania wenye hamsa ya kucheza soka lenye tija.
Jacob kitendo hicho ambacho si cha kiungwana kinaweza kumkatisha tamaa mchezaji huyo ambaye angweza kuwa rafiki nzuri wa Tanzania na kupata tija kupitia mlango wa soka.
jacob amefafanua taratibu za kuupa mtaa jina kuwa zilipita kwenye uongozi wa mtaa wa viwandani nao waliriridhia na wana mamlaka ka Serikali ya Mtaa.
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2sRHUVa
via IFTTT