Katika hali ya kushangaza mwanaume mmoja Nchini KENYA ajikata uume wake na kumpa Mbwa Adai kuwa kiungo hicho hakina thamani na umuhimu wowote kwake.
Majirani walifika katika chumbani mwa mwanaume huyo baada ya kusikia akipiga kelele zinzoashiria kulia kwa uchungu ambazo ziliwapelekea majirani hao kwenda kujua kilichomsibu ili waweze kumsaidia.
Mmoja wa mashuhuda alisema kuwa alimkuta Mwanaume huyo akiwa nusu uchi huku akivuja damu nyingi huku akiwa tayari ameshaukata uume wake.
Baada ya majirani kufika na kujua kilichotokea walimkimbiza Mwanaume huyo katika hospitali ndogo katika Kaunti ya Naivasha kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Tazama video Mtoto amvua kofia
Papa Francis
Papa Francis
from Blogger http://ift.tt/2ooHQJC
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nGTZLP
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2ogHKqg
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nqFn0x
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nqVU4E
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mVuYOc
via IFTTT