Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Khamis
Kasapa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo mara baada ya kurejea
kutoka mkoani Mwanza ambazo kulikuwa na mkutano wa zarura kwa viongozi wa
Vilabu vya waandishi wa habari kujadili Musuada wa seria ya huduma za vyombo
vya habari unao tarajiwa kujadiliwa kwa mara ya pili Bungeni Mwisho wa mwezi
huu kabla ya kupitishwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)