WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA
MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/02/2016.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini)
KatavinaRukwa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mbeya,
NjombenaIringa]:
[Mikoa ya MtwaranaLindi]:
|
|
Hali ya Mawingu,
mvuanangurumokatikabaadhi ya maeneonavipindivifupivyajua
|
[Mikoa ya Kigoma, Tabora na
Kagera]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi,
mvuanangurumokatikamaeneomachache navipindivyajua
|
[Mikoa yaSimiyu, Shinyanga,
Mara na Mwanza]:
[Mikoa yaGeita, Singidana
Dodoma]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumokatikamaeneomachache
navipindivyajua
|
[Mikoa ya Tanga, Dar es
salaam naPwani]:
[MkoawaMorogoro(Kaskazini)]:
[VisiwavyaUngujanaPemba]:
|
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
ArushanaManyara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasinavipindivyajua
|
ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MIKOA YA MBEYA, IRINGA,
NJOMBE, LINDI, RUVUMA, MTWARA NA MOROGORO (KUSINI).
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
29°C
|
14°C
|
12:42
|
12:53
|
D'SALAAM
|
32°C
|
24°C
|
12:28
|
12:46
|
DODOMA
|
29°C
|
19°C
|
12:42
|
01:00
|
KIGOMA
|
29°C
|
20°C
|
01:07
|
01:22
|
MBEYA
|
26°C
|
13°C
|
12:49
|
01:11
|
IRINGA
|
28°C
|
15°C
|
12:41
|
01:01
|
MWANZA
|
30°C
|
20°C
|
12:57
|
01:07
|
TABORA
|
30°C
|
17°C
|
12:55
|
01:10
|
TANGA |
32°C
|
24°C
|
12:30
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
34°C
|
24°C
|
12:28
|
12:46
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa
kasi ya km 30 kwa saakwa Pwani ya
Kaskazini nakutoka Kaskazinikwa kasi ya km 20 kwa saakwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: InatarajiwakuwanaMawimbi: MadogohadiMakubwa kiasi.
Matazamiokwasiku yaIjumaa:
19/02/2016:Mabadiliko kidogo.
Utabirihuuumetolewaleotarehe: 17/02/2016.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.