KAMPALA,UGANDA
ZIKIWA zimesalia siku 13 kabla ya uchaguzi Mkuu nchini hapa,Serikali imenunua magari makubwa ya polisi ambayo imedai kuwa yatatumika kwa ajili ya ulinzi katika siku ya uchaguzi mkuu tarehe 18 mwezi huu .
Taarifa zinasema kuwa magari hayo yatakuwa maalumu kwa ajili ya ulinzi na yatakuwa yakizunguka katika maeneo mbalimbali ambayo yanadhaniwa kuwa huenda pakatokea vurugu