UTABIRI WA HALI YAHEWA NCHINZMA KWA SIKU YA KESHO MWAKA MPYA


WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 31/12/2015.
[Mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi na Rukwa]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Geita, Mara, Simiyu, Mwanza na Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika
maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro(Kaskazini)]:Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika
maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO:
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA
MIKOA YA RUKWA, MBEYA, NJOMBE, IRINGA, MOROGORO (KUSINI), RUVUMA,
LINDI NA MTWARA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha
joto
Kiwango cha chini cha
joto
Mawio (Saa)Machweo (Saa)
ARUSHA30°C 16°C 12:3012:44
D'SALAAM33°C 27°C 12:1112:41
DODOMA32°C22°C12:2712:53
KIGOMA29°C23°C12:5301:15
MBEYA26°C16°C12:3101:07
IRINGA30°C18°C12:2412:56
MWANZA29°C19°C12:4512:57
TABORA31°C19°C12:4101:03
TANGA33°C 26°C 12:1612:38
ZANZIBAR34°C 26°C 12:1112:41
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwasiku ya Jumamosi: 02/01/2016: Mabadiliko kidogo.
Utabirihuuumetolewaleotarehe: 31/12/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.