Njombe wajihadhari na kipindupindu, elimu naabango vyasambaza



MKOA wa Njombe umejipanga kukabiliana na magonjwa ya mripuka kama kipindipindu ambacho kwa baadhi ya maeneo ya mikoa 18 ya Tanzania ambayo tarari yameanza kukubwa na ugongwa huo kwa kusambaza vipeperushi vya kujikinda na ugonjwa huo.

Akizungumza na kituo hiki, ofisa wa afya mkoa wa Njombe, Mathias Gambishi amesema kuwa katika mkoa huo ugonjwa huo bado haujaingia kutokan ana mkoa huo kufanya vizuri katika usafi wa mazingira.

Amesema kuwa katika mkoa huo hakujapatikana mgonjwa hata mmoja wala mtu mwenye viashiria vya ugonjwa huo na kuwa wananchi asilimia kubwa wamepatiwa elimu kupitia wataalamu wa halmashauri za mkoa huo.


Ugonjwa wa Kipindupindu ulianza Jijini Dar Es salaam na kusambaa katika baadhi ya maeneo ya mikoa mingine 18 hapa na kuua watanzania na wengine kulazwa.