ELIMTAA NA HISA; BEI YA SOKONI HISA LEO

Bei za leo 25/11/2015 katika Soko la Hisa

Katika soko la Hisa leo Kampuni ambazo hisa zake zimeongoza kwa kuuza na kununuliwa kwa kiasi kikubwa ni Kampuni ya  CRDB, TBL  na MKCB.

KAMPUNI
BEI
YA KUFUNGIA
ONGEZEKO LA BEI KWA %
ACA
5,590


CRDB
400


DCB
565


EABL
5,750
 
JHL
10,836
KA
100

KCB
880


MBP
600

MKCB
1,000


NMB
2,800


NMG
2,800


PAL
470


SWALA
500

SWIS
7,390
TBL
15,030
TCC
16,280

TCCL
2,770


TOL
760


TPCC
3,330
TTP
650

USL
180

Emmanuel Mahundi
Chanzo www.dse.co.tz