Baadhi ya Wakazi wa mji wa Njombe
wapeyapokea matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya wabunge katika jimbo lao la njombe kusini kufuatia uchaguzi huo kutajwa kuhusika na vitendo vya kubadilisha matokeo ambapo mmachungu katika mtaa wa kambarage baadhi ya vijana wamesema kuwa wanaamini mgombea wao alishinda na kumefanyika udanganyifu wa kubadili matokeo kwa kuwa mgombea wao Emanuel masonga alipata kura zaidi elfu ishirini na saba dhidi Edward fansi mwalongo ambaye ametangazwa kuwa mshindi jimbo la Njombe kusini
Msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo Bi Iluminata mwenda alipotangaza matokeo alisema kuwa emanueli masonga amepata kuwa elfu ishirini na tatu dhidi ya fransis Edward mwalongo ambaye aliitangazwa mshindi kwa kura zaidi ya elfu
Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chadema Emanuel masonga maesema kuwa kamwe hawezi kuridhika na matokeo hayo kwa kua alikuwa anatambua idadi kamili ya kura zilizo pigwa kwa jimbo zima na sasa anaandaa utaratibu wa kufungua kesi mahakamani