Wanariadha wakianza mbio za Igombe Marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora. |
Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, Bw.Suleiman Kumchaya (katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe Marathon. |
Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe Marathon. |
Washindi wa Igombe Marathon kuanzia wa kwanza hadi wa tatu (wanaume na wanawake) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo TIGO. |
Washiriki wa Tigo Igombe Marathon wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo.CHANZO; MWANAHARAKATI MZALENDO |