LOWASSA KUANZISHA BENKI YA MIKOPO KWA WALALAHOI KAMA WATANZANIA WATAMCHAGUA KUONGOZA TANZANIA KWA NAFASI YA URAIS.



Katika ziara zake za kutafuta uungwaji mkono na wananchi, Lowassa jana alifanya mikutano yake jijini Dar es Salaam katika maeneo ya Mwembeyanga (Temeke), Segerea (Ilala), Sinza katika Jimbo la Ubungo na Jimbo la Kawe katika Manispaa ya Kinondoni.HABARILEO