IBADA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA BABA YETU GODFREY MNGODO COLUMBUS. OHIO





Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya Jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..




Mahali ni:

35 E.STANTON AVE, 

COLUMBUS OH 43214. 




Karibuni sana na Mungu awabariki.




Kwa maelezo zaidi na maelekezo

Michael Godfrey Mngodo: 614 446 5565. Teresia Teddy Ngeleja Mngodo: 614 772 1591. Kwetukia Joseph Mngodo: 614 316 5092   Vickie Tungaraza: 614 288 8103