WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 05/09/2015.
[Mikoa ya Kigoma, Mwanza,
Geita, Kagera, Shinyanga na Mara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Morogoro, Tanga,
Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi,
Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi, Tabora,
Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
16°C
|
12:33
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
20°C
|
12:24
|
12:22
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:38
|
12:36
|
KIGOMA
|
29°C
|
22°C
|
01:02
|
01:00
|
MBEYA
|
26°C
|
09°C
|
12:49
|
12:43
|
IRINGA
|
26°C
|
14°C
|
12:39
|
12:35
|
MWANZA
|
24°C
|
19°C
|
12:47
|
12:49
|
TABORA
|
30°C
|
17°C
|
12:50
|
12:48
|
TANGA |
28°C
|
26°C
|
12:25
|
12:23
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
21°C
|
12:24
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani Kaskazini na Kutoka Mahariki kwa Pwani ya
Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 07/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 05/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.