Libe katika ubora wake
Libe akiingia mkutanono na ulinzi shirikishi
Mafuriko ya mbunge
Peoples'... POWER!!!
Akiwa njiani kuelekea kwenye mikutabo, Libe huongea na mtu mmoja mmoja
Mh. Mwang'ombe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali itikadi wala tofauti zao kumsaidia kwa hali na mali ili atimilize ndoto ya kupenyeza hoja za diaspora