Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi
Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko
katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya
kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT.
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe
Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa
Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika
Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama
cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na Viongozi wa Chama hicho wakati wa
kurejesha Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha ACT wakiwa
katika ukumbi wa Tume wakimshindikiza Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar
wakifuatilia hafla hiyo.
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe
Khamis Iddi Lila akimkabidhi Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jecha.S,Jecha alipofika
Afisi za Tume zilioko hoteli ya Bwawani Zanzibar kushoto Mkurugenzi wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassin Ali.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila
akikabidhi fedha kwa ajili ya malipo ya fomu ya Urais shiliongi milioni
mbili kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jecha.S.Jecha
wakati wa kurejesha fomu katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika
hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC Mhe Jecha,SJecha akisaini fomu za mgombea wa Chama cha ACT baada ya
kuzipokea na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg Salum Kassim
Ali akihakiki fomu hizo wakati wa kukabidhiwa Tume na Mgombea.
Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe
Khamis Iddi Lila akitoa shukrani zake kwa Tume ya Uchaguzi baada ya
kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT na
kuwataka Wananchi kusubiri matunda yake kama atapata ridhaa za
kucgaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe.
Khamis Iddi Lila akitoka Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC baada
ya kurejesha fomu za kugombea nafasi hiyo ya Urais wa Zanzibar.