Fulana mpya za Nike ambazo Manchester United watatumia katika mazoezi ya mechi za Uefa Champions League leo zimevujishwa na Footy Headlines.
Jezi hizo hazina logo ya Chevrolet logo, kwasababu hairuhusiwi kwa mujibu wa kanuni za Uefa.
Tazama picha za fulana zenyewe: