1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA.
Saa ya mkononi inamadhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansiwanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(yamkononi)
2 - USILALE UMEVAA SIDIRIA
(wanawake wanayovaakwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegunduakuwa wanaovaa sidiria zaidi ya masaa 12 Wako kwenyehatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.
wanasayansiwanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizimakama ni lazima ukae nayo karibu.
4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni).
Hii husababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizikwa haraka.
5- USILALE NA CHUPI-
Hili kuwa huru na kulala ni vyemaukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi.
KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU.
wanasayansiwanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainikalinaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sanahapa!..."Kama tumeelewana Gonga "LIKE"Alafu "Share" na wenzakoUnaruhusiwa kukomenti kama unachakusema kuhusu hizimambo......
by Mwaisango wa Mbeya Yetu Blog