Ni yule aliye kuwa kinala katika kupambana na madawa ya kulevya Bungeni Mh. Amina Chifupa alifaliki dunia akiwa na miaka 26 na ikiwa ni siku ya madawa ya kulevya.
AMINA CHIFUPA Amina Chifupa Nyota huyu alizaliwa Mei 20 mwaka 1981 na kufariki Juni 26 Juni, 2007 baada ya kuugua. Kifo chake kilitokea siku chache kabla ya kikao cha Bunge la Bajeti, akiwa mbunge. Chifupa alipata umaarufu wa kuwa Mbunge kijana mwenye umri mdogo ambapo alitikisa kwa kula kiapo mbele ya Bunge katika harakati za kuwamata wauza na watumiaji wa madawa ya kulevya. Ndani ya miezi 18 alishikilia bango msemo wake wa kutetea vijana, kupunguza rushwa na pia elimu kwa watu wote. Kabla ya hapo alikuwa ni mtangazaji maarufu wa redio ya Clouds FM.