#ZamuYako2015 sasa Makambako soma maelekezo Tekeleza maelekezo

Hii ni kwa mkazi wa Makambako tumia fursa hii kwa kutuma picha yako kwenye namba ifuatayo ya whatsapp 0787633313, Picha ya mfano hii,

cha kufanya jipige picha Ukiwa na kitambilisho chako cha kupigia #Kura kama inavyoonekana picha hapo juu kisha tuma kwenye ndamba hiyo na sasa ni #ZamuYako2015 utaonekana katika vipindi mbalimabli vya East_Africa_Television unakaribishwa kutumia Fursa na uza sura EATV.